Total Pageviews


Breaking News

Monday, February 2, 2015

Yanga watimuliwa vyumbani na polisi


Wachezaji wa Yanga, wakishangilia ushindi.
Mohamed Mdose na Nassor Gallu
YANGA jana walilazimika kuondolewa kwenye vyumba vya kubadilisha nguo na polisi, mara baada ya mchezo wao dhidi ya Ndanda kumalizika.
Read more ...

YANGA YASHIKWA TAIFA, YALAZIMISHWA SULUHU NA NDANDA


Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Ndanda.
Patashika wakati wa mtanange wa leo.
Mashabiki wa Ndanda wakiipa sapoti timu yao.
Kikosi cha Yanga kilichoanza mtanange wa leo.
Kikosi cha Ndanda SC kilichoanza kuwavaa Yanga leo.

Read more ...

Okwi awaahidi makubwa mashabiki Simba SC


Straika wa Simba, Emmanuel Okwi.

BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu juzi Jumamosi, straika wa Simba, Emmanuel Okwi, raia wa Uganda, ameibuka na kuwaahidi makubwa mashabiki wa timu hiyo katika mechi zinazofuata huku akiwapooza kuhusu matokeo mabovu yaliyopita.

Read more ...

MAZISHI YA BABA WA P-SQUARE KAMA SHEREHE


Mwili wa baba wa P-Square, marehemu Moses Okoye ukisindikizwa kwenye gari kwa tarumbeta.
Ishu hiyo ilijiri nyumbani kwa mastaa hao eneo la Ifitedunu, Jimbo la Anambra nchini humo Ijumaa iliyopita ikiwa ni siku 65 tangu mzee huyo alipofariki dunia baada ya kufanyiwa oparesheni ya goti alipodondoka kwenye ngazi nyumbani kwake maeneo hayo.
Wakina P-square wakiwa na wake zao katika msiba huo.
Tofauti na ilivyozoeleka kwamba kwenye msiba watu huwa wanalia na kuomboleza, mazishi hayo yaliyohudhuriwa na mastaa kibao nchini humo yalikuwa tofauti kwani watu walikuwa na nyuso za tabasamu huku wakiserebuka na matarumbeta juu.
Ulinzi mkali ukiimarishwa katika msiba huo.
Mbali na kuonekana kuwa kama sherehe, pia mazishi hayo yaliripotiwa kuwa ya gharama zaidi kuanzia jeneza lililobeba mwili wa baba yao, gari ‘spesho’ lililokuwa na jina la Dady badala ya namba za usajili na wahudhuriaji waliopiga sare nyeupe huku wakijifotoa picha wakicheka na kutupia kwenye mitandao ya kijamii.
Mwili wa baba wa P-Square ukiwa kwenye jeneza.
Pia kivutio kikubwa kilikuwa ni wake wa mastaa hao ambao walipewa ulinzi mkali uliowekwa katika mazishi hayo yaliyohudhuriwa kwa mualiko maalum.
Baba wa P-Square (aliyenyosha mikono) enzi za uhai wake.
Cha kushangaza, wakati mwili wa baba yao ukiwa mochwari, jamaa hao walidaiwa kuendelea na ratiba za kimuziki huku wakifanya shoo kama kawa jambo ambalo kwa Bongo haliwezekani.
Read more ...

Saturday, January 31, 2015

SIMBA YASHINDA BAO 2- 1 DHIDI YA JKT RUVU TAIFA

Kikosi cha timu ya Simba SCkilichoanza leo dhidi ya JKT Ruvu Uwanja wa taifa na kushinda bao 2-1.
Kikosi cha timu ya JKT Ruvu kilichoanza leo.
Makapteni wakisalimiana na marefa kabla ya mechi.
Mashabiki wa Simba wakishangilia.
Wachezaji wa Simba wakiwasalimia mashabiki baada ya mechi.
Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16.
Read more ...

Je,Man United italipiza kichapo cha 5-3?

Mechi kati ya Leicester na Man United ambapo Leicester ilipata ushindi wa 5-3
Huku Manchester United ikitarajiwa kuchuana na Leicester katika uwanja wa nyumbani wa Old Trafford,kiungo wa kati wa Manchester United Michael Carrick hatoshiriki katika mechi yoyote kwa kipindi cha wiki tatu baada ya kupata jeraha la misuli.
Ashley Young anakaribia kupona jeraha baada ya kuumia nyuma ya goti lake,huku Jonny Evans na Chris Smalling wakitarajiwa kushiriki.
Read more ...

Chelsea na Mancity kutoana jesho

Chelsea John Terry
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa hatoshiriki katika mechi dhidi ya Manchester City baada ya kupatikana na hatia ya ukosefu wa nidhamu katika mechi ya semi fainali ya kombe la League Cup dhidi ya Liverpool.
Cesc Fabregas ,Branislav Ivanovic na Felippe Luis wote walijeruhiwa katika mechi hiyo ya ushindi wa kombe la League Cup na ni Ivanovic pekee anayetarajiwa kucheza leo.
mancity
Nyota wa kilabu hiyo Yaya Toure na mshambuliaji Wilfried Bonny hawatashirik baada ya imu yao ya taifa kusonga mbele katika mechi za robo fainali za Afrika hatua ambayo inawalazimu wote kusalia Afrika.
Read more ...

Said Ndemla aitwa Ulaya

Kiungo wa Simba, Said Ndemla.

MAWAKALA zaidi ya watano wamejitokeza kwa Klabu ya Simba na kuomba kumchukua kiungo wa klabu hiyo, Said Ndemla kwenda kufanya majaribio katika moja za timu za nje, hasa barani Ulaya.
Ikiwa mipango hiyo itakubalika na kwenda inavyotakiwa, maana yake ni kuwa itakuwa mara yake ya kwanza.
Read more ...

TFF wakubali Coutinho kuichezea Stars


Kiungo wa Yanga, Andrey Coutinho.


BAADA ya kiungo wa Yanga, Andrey Coutinho, raia wa Brazil, kuonyesha nia yake ya kuichezea timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemkubalia lakini limempa masharti ya kufuata.
Read more ...

Mbeya City yamtimua kocha Simba


Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola.

KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, ameomba kuondoka klabuni hapo ikiwa ni siku chache tangu timu hiyo ilipofungwa na Mbeya City mabao 2-1 katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.
Read more ...

Simba wamuwashia moto Juma Nyosso


Beki wa Mbeya City Juma Nyosso.

SIKU moja baada ya Gazeti la Championi kutoa picha ya beki wa Mbeya City, Juma Nyosso akionekana kumfanyia ndivyo sivyo straika wa Simba, Elias Maguri, makubwa yameibuka.
Read more ...

Friday, January 30, 2015

Sasa Yanga ni full raha





MASHABIKI wa Yanga  jana Jumatano walikuwa na furaha kuliko wale wa Mbeya City ambao timu yao iliifunga Simba mabao 2-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara pale Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Read more ...

Kopunovic amtaja aliyeimaliza Simba


Kocha wa Simba, Goran Kopunovic.

BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-1 na Mbeya City, juzi Jumatano katika Ligi Kuu Bara, Kocha wa Simba, Goran Kopunovic, amefunguka kuhusu sababu zilizochangia kipigo hicho huku akimtaja mchezaji mmoja kuhusika.
Read more ...
Designed By MR.PRIME 2015